IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 801 Sep 21, 2013 #1 Hello JF Experts! Naomba kujua aina za document za kimahesabu ambazo mfanyabiashara anatakiwa kuziandaa kwa ajili ya kuwakilisha TRA wakati wa kuendesha biashara zake? Nashukuru kwa kuwa mtanipa mwongozo.
Hello JF Experts! Naomba kujua aina za document za kimahesabu ambazo mfanyabiashara anatakiwa kuziandaa kwa ajili ya kuwakilisha TRA wakati wa kuendesha biashara zake? Nashukuru kwa kuwa mtanipa mwongozo.