Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ya Marekani imemkalia kooni Donald Trump inadai alikuza thamani ya nyumba yake ya Mar-a-Lago. Zipi faida na hasara za kukuza thamani ya nyumba?Kutwa kuchwa majobless wanamdiskasi mwijiku sijui mwajuku
Upuuzi mtupu
Tafuteni kazi au tafuteni hela……
Mie navuta kiti nikae nasome comments za waja nijifunyeKwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
View attachment 2865571
HaihusianiSerikali ya Marekani imemkalia kooni Donald Trump inadai alikuza thamani ya nyumba yake ya Mar-a-Lago.
Zipi faida na hasara za kuongeza/kukuza thamani ya nyumba?Haihusiani
Mwijiku ameongeza thamani kwa mdomo..
Trump amehonga kuongeza thamani..
Poole..Kusimamisha hilo jengo bila finishing yoyote ni kiasi kama 800M kwa nyumba isiyo na swimming pool.
Umetumia njia zipi kujua kama amekuza gharama za ujenzi...Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
View attachment 2865571
Hata kama mkuu, ila haiwezi fika hiyo 1.3b. Gharama imekwenda sana labda ni 700M mpaka furnitures ndani. Ila asante kwa maangalizo yako, ingawa wengine watasema wewe ndio Mwijaku mwenyewe maana sio kwa maswali dadavuzi namna hiyo.Umetumia njia zipi kujua kama amekuza gharama za ujenzi...
1.Je ,unajua materials zilizotumika zilikuwa zina ubora gani..?
2.Je ,unajua materials hizo alinunulia wapi?
3.Je,Kuna materials ngapi ilimbidi aagize nje...?
4.Je , unajua alitumia Mafundi au ali toa kandarasi kwa kampuni..?
5.Je,kama alikopa ili kuweza kujenga,sasa Kuna gharama ya riba ?
6.Je,unajua alitumia aina gani ya msingi ?
7.Je,unajua gharama gani aliingia kabla ya ujenzi ili kuandaa kiwanja.?
8.Je,kama alilipia bima kipindi cha ujenzi kujikinga na hasara?
9.Je,unajua hata ramani ya jengo lake likoje na Idadi ya vyumba...?
10.Je,unajua gharama ya kuvuta huduma muhimu katika eneo husika...?
Bila kuwa na majibu ya maswali haya ni vigumu kujua kama kaongeza bei ama ....