Zipi faida na Hasara za kuwekeza katika UTT Microfinance?

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
200
Habari zenu wadau

Wataalam wa uchumi naomba tusaidiane hapa

Tuambiane faida na hasara za kuwekeza pesa kwenye utt miccrofinance ikiwa kama tawi la utt

Ahsanteni sana
 
wataalum mtuhabarishe wengine ni waathirika wa huu mfuko, tangu nimewekeza miaka zaidi ya mitano nyuma sijawahi kupata gawia hata mara moja. HOVYO KABISA.
 
wataalum mtuhabarishe wengine ni waathirika wa huu mfuko, tangu nimewekeza miaka zaidi ya mitano nyuma sijawahi kupata gawia hata mara moja. HOVYO KABISA.
uliwekeza mfuko gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…