mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Fani zipi za ufundi nzuri kwa watoto wetu wa kike , Nina mtoto wa mama yangu mdogo kaja kwangu nataka kumpeleka course za ufundi maana ndio naona Kuna ajira nyingi, kumrudisha shule na kufanya arudie mitihani naona haitamsaidia sana au kumpeleka vyuo vya NACTE naona ni wastage of time and money, biashara naona Hana discipline kabisa ya pesa, kuoelewa bado hana mvuto