Hivi vifaa unavosema so ndio vile kwenye tangazo lao LA TV, wanasema vinatolewa bure kwa kila mama mjamzito wakati Wa kujifungua!? Na nimarufuku kuuziwa! Kiufupi Huduma za kujifungua ni bure, utacholipia ni malazi na complication zozote zitazotokea za kimatibabu.Ni kuwa na vifaa vyake vya kujifungulia tu! Gharama yake haizidi 50,000
Sasa we siku nenda na mkeo uwaambie vifaa bure uone kama hujatukanwa wewe mkeo na hicho kilicho tumboni (kiukweli manesi wanatukana sana)Hivi vifaa unavosema so ndio vile kwenye tangazo lao LA TV, wanasema vinatolewa bure kwa kila mama mjamzito wakati Wa kujifungua!? Na nimarufuku kuuziwa! Kiufupi Huduma za kujifungua ni bure, utacholipia ni malazi na complication zozote zitazotokea za kimatibabu.
Lakini kama wanavosemaga damu haiuzwi, ila unapokuwa na Shida ndo utajua inauzwa? au inabidi uwe na hela ndo uipate!
Hivyo vifaa ni kwa ajili ya kurahisisha huduma ukisubiri vya bure utaambulia matusi. Vifaa vyenyewe ni pamba, mpira, chupa ya spirit, pair of gloves pamoja na ile dawa. Ukingoja vya bure mara utaambiwa vimekwisha au mwenye funguo ya stoo hayupo tena wakati huo mkeo ndio muda umefika wa kujifungua, jenga picha je ukiwa na vifaa vyako?Hivi vifaa unavosema so ndio vile kwenye tangazo lao LA TV, wanasema vinatolewa bure kwa kila mama mjamzito wakati Wa kujifungua!? Na nimarufuku kuuziwa! Kiufupi Huduma za kujifungua ni bure, utacholipia ni malazi na complication zozote zitazotokea za kimatibabu.
Lakini kama wanavosemaga damu haiuzwi, ila unapokuwa na Shida ndo utajua inauzwa? au inabidi uwe na hela ndo uipate!
Achana na hospital za serikali, mi kuna siku muhimbili nliambiwa hamna tissue ya kunifutia jelly kwenye kipimo cha ultrasound, niende nikatafute ndio nirudi kupima, tissue inafanya mtu ukose kipimo!!Hivi vifaa unavosema so ndio vile kwenye tangazo lao LA TV, wanasema vinatolewa bure kwa kila mama mjamzito wakati Wa kujifungua!? Na nimarufuku kuuziwa! Kiufupi Huduma za kujifungua ni bure, utacholipia ni malazi na complication zozote zitazotokea za kimatibabu.
Lakini kama wanavosemaga damu haiuzwi, ila unapokuwa na Shida ndo utajua inauzwa? au inabidi uwe na hela ndo uipate!
πππππSasa we siku nenda na mkeo uwaambie vifaa bure uone kama hujatukanwa wewe mkeo na hicho kilicho tumboni (manesi wanatukana)
Manesi wakaksi sana,tena sana ukute nesi mtu mzima anakua hana noma wala aibu kavu kavu anakupa vidonge vyako.πππππ
Hadi cha tumboni kinatukanwa lol
Mi naona bora hata manesi watu wazima, hawa wadada wadada ndio shida....Manesi wakaksi sana,tena sana ukute nesi mtu mzima anakua hana noma wala aibu kavu kavu anakupa vidonge vyako.