Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,406
Habari wana jf!
Naomba kama kuna anayefaham madhara ya kuhifadhi juice kwenye freezer, maana nina mazoea ya kutengeneza juice then naweka kwenye freezer natumia hata siku tatu.
Ila leo jirani yangu kaniambia hiyo juice inakuwa haina tena kazi, japo hajui inakuwaje kwani naye alisikia tu kwa watu.