inategemea na aina ya matunda uliyotengenezea juice mpendwa, kama matunda kama matango, tikiti ndizi n.k ukitengeneza juice uliyochanganya na matunda hayo ikilala inakua na ladha mbaya na harufu tofauti, but kwa uzoefu wangu, mimi pia hutengeneza juice na kuiweka kwenye freezer kwa siku tatu na sijawah pata madhara yeyote, sema inaweza kupoteza ladha tu kidogo, But mimi nikishatengeneza juice huwa naichemsha au natengenezea maji yaliyochemka kabisaa ya moto yaani, kwa kufanya hivi huifanya juice kutokuharibika wala kupoteza ladha. Mfano mzuri, wengi wanaotengeneza juice za biashara hadi lita 50 na zaidi hufanya hivyo ili kuepuka hasara. BUT nimeuliza wataalam wananiambia madhara ya kuweka juice kwenye freezer hakuna kiafya,.Enjoy ur budgeting...🙂