Zipi ni faculty nzuri ambazo zpo kwenye soko la ajira Na aliyesoma EGM anaweza soma?

Zipi ni faculty nzuri ambazo zpo kwenye soko la ajira Na aliyesoma EGM anaweza soma?

Education in ( mathematics and Geography)

Hukosi ajira
 
Mamaweeeee! Wewe kijana unaweza kweli kusoma faculty? Au unataka uwe Mtanzania wa kwanza kusoma faculty?
 
Pia aea ya sua ni mashavu sana kwa majembe waliosoma egm ila tatizo nayo pia ina ushindani sana!!!!
Wabongo walisema tatizo ni bei ya mkaa..
 
Ata mi cjakuxoma umemaanixha nn??


Mkuu wewe somea kazi unayoipenda kutoka moyoni na sio mtu akuambie nini usomee, kwenye suala la ajira usiogope coz kuna msemo unasema kwamba " it does not matter what you have , the important thing is who knows you"
 
faculty ni mkusanyiko wa coz kbao a.k.a degree-m-phd,dip,cert kbao
 
Faculty ni kitivo,ndani ya kitivo kuna mkusanyiko wa kozi nyingi.Ngoja wadau watazidi kukudadavulia kozi za kusoma.
 
Hv kwanza mtu aliyesoma egm anaweza soma wild life conservation?
 
Back
Top Bottom