Shilewashile
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 121
- 48
Wana JF naomba msaada wa kujua Shule zipi ni nzuri kwa wasichana wanaochukia PCB kidato Tano, iwe ya Goverment na private.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIBAHA BOYS....TABORA BOYS mwenyewe nilisoma huko....ni nzuri sana hizo shule
mkuu nimesema Shule ya wasichana naona hujasoma vizuri. Pia natafuta tuition nzuri ya PCBKIBAHA BOYS....TABORA BOYS mwenyewe nilisoma huko....ni nzuri sana hizo shule
mkuu wewe ndo mwanafunzi?maana mwenyewe niko likizo hapa nahitaji mwanafunzi wa table teaching .....uko tayari nipmmkuu nimesema Shule ya wasichana naona hujasoma vizuri. Pia natafuta tuition nzuri ya PCB
St. Mary Goret Kilimanjaro
Marian Girls
St. Marys Mazinde juu Tanga
St. Marys Kifungilo Tanga
Rosmin Tanga
Ni hizo ninazozifahamu.....Na zote hizo zinamilikiwa na Kanisa Katoliki...
Kıfungilo haimilikiwi na Kanisa Katoliki.Pıa mtoa mada aelewe kuwa kwenda shule hz sio tu uwe na credit 3 bali uwe na mabanda ya uhakıka na ufaulu usailı.Usipofaulu usaıli wao hata mwanao awe na GPA Ya 5.00.
Marian girls,
Cannosa,
Mary Goret..
Aliyekudanganya ni nani....??? Kifungilo inamilikiwa na Masister wa Precious Blood ambayo pia ni wamili wa Mazinde Juu na PreciouscBloid Arusha....Pamoja na Precious Blood zote za Kenya....
Vipi wewe...Usiwe unashupaa kama hujui kitu...Ingia kwenye website yao ujionee
Feza girls
mkuu Cannosa matokeo yake ya form Six yapoje kitaifa. nina dogo nataka kumpleka PCB pale