Zipi ni sifa na vigezo vya kujiunga na Pugu boyz (EGM)?

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
jamani mambo vipi?naomba mniorodheshee sifa na vigezo vya kujiunga na pond boys(pugu)EGM.maana nina II-18,Geog-B,B/Maths-B+ So sijajua kama ntapostiwa pugu au laa! ila ilikuwa the first in sel-form.nisaidieni!
 
dogo unazingua bana kila mda ww na thread mpya

c ulishapewa ushauri lakini.
 
dogo unazingua bana kila mda ww na thread mpya

c ulishapewa ushauri lakini.
Ha ha ha mara aulize vigezo vya kupewa mkopo akisoma mathematics
kumbe ndo kwanza kamaliza form four
kishajipangia combi kishajipangia ataenda pugu duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…