Zipigwe marufuku tu.

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,439
Reaction score
1,738
Habari za jioni wadau. Nimekaa pub moja hapa Jijini kwa wala chips mayai.

Kuna bidada moja kaingia amevaa nguo fupi, shida ni umbo lake hata sanamu la Michelini lina nafuu yaani inakera, kwa bora wapige tu maruku nguo fupi jionee mwenyewe japo picha Haionekani vizuri
 
Mkuu we ulienda kula chips ama ulienda kutalii na kupiga picha? [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Hapo sio loves pub pale jirani na meeda?!
 
We jamaa mshamba mshamba sana,mbona kawaida kwa dar usiku..we umeenda sehemu ya starehe alafu unashangaaa hivo?
 
We jamaa mshamba mshamba sana,mbona kawaida kwa dar usiku..we umeenda sehemu ya starehe alafu unashangaaa hivo?
Soma uzi ukisha elewa ndio u comment
 
Achane ujinga chaputa tutakula wapi
 
Mi mnaolalamikia nguo fupi siwaelewi kabisa...vaa ww tukutamani basi...msiturudishe miaka ya 70, acheni tung'arishe macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…