Kwa kuongezea hapo kwenye red. Mkiongea lugha zenu kwenye mjumuiko wa watu inaonekana kama mnawatukana au kuwateta wasiojua lugha hiyo.Kama mnataka kuongea kitu cha siri si muende faragha!Kwanza sio ustaarabu kuongea lugha wenzako wasioijua mkiwa mmejumuika pamoja!Itaneni pembeni myamalize!Hiyo nyingine nakubaliana nayo...japo haitoshi kutangaza ndoa!
Ahsante. Lakini, kuna faida kuoana kabila moja?