Tetesi: Zipo wapi Shauku na Bashasha za Kuingia kwa Mwezi July

Tetesi: Zipo wapi Shauku na Bashasha za Kuingia kwa Mwezi July

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Happy New Month to all...
Leo ni tarehe 1 July,mwezi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na watumishi wazalendo,sioni shauku,matumaini,bashasha na furaha kama enzi zileeee,nini kimetokea?
Mwenye updates/fununu/tetesi/za chini ya kapeti/kutoka kwa mtu wa jikoni/za kunyapianyapia juu ya NEEMA iliyokuwa ikipatikana kama itakuwepo this month aje kulipa matumaini kundi tajwa hapo juu.


Uzi tayari...
 
huu ni mwezi tuu kama mingine...kwanza kuna wadaiwa kodi na ada ukiwakumbusha hii ni jULY, wanapata presha
 
mwezi mgumu mkuu tuna bills kibao na kasalari akapandishwii
 
Back
Top Bottom