Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu kwa Ubunifu.
Vipi zinapatikana wapi na bei gani mkuu? Mi nahitaji nyingi kwa ajili ya familia yangu yote na ndugu wa karibu pia.
Mkuu! hii ni biashara nzuri sana..ila utoe hiyo pcha hapo. maana hawa jamaa watakutandika wakutoe meno ya mbele buree!!Mkuu nakutakia kila la heri kuzivaa, hata mimi nitaivaa, lakini uko tayari kumwagwa damu kama mimi?
Kwa wale wanaohitaji hii, zipo za kumwaga from Small size to XXXXL. Zapatikana katika ofisi za vijana wetu Lumumba na hata mikoani. ukihitaji uje na kitambulisho chako cha Kazi..ni bure hakuna kulipia chochote.
View attachment 11975
Kitambulisho cha kazi cha nini wakati ni za bure