gost JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 275 Reaction score 135 Feb 10, 2013 #1 Kwa walicho fanya viongozi wa chadema kutoa namba ya simu kwa raia na kuwataka wawatumie sms za kujiuzuri . Hakuna sheria yakuwa shtaki kwa kosa lakutoa namba bila hizini
Kwa walicho fanya viongozi wa chadema kutoa namba ya simu kwa raia na kuwataka wawatumie sms za kujiuzuri . Hakuna sheria yakuwa shtaki kwa kosa lakutoa namba bila hizini
Ivonya-Ngia JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 703 Reaction score 383 Feb 11, 2013 #2 Mbona hizo namba zimeanikwa hata kwenye website ya Bunge?
Mwanaukweli JF-Expert Member Joined May 18, 2007 Posts 4,786 Reaction score 1,715 Feb 11, 2013 #3 Hizi ni public zipo hata hapa Parliament of Tanzania