Zitto aachwe aendelee kung'ata jiwe tuone ataishia wapi!

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Hahaha hahaaa

Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?

Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?

Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa

Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,

Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!

Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?

Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?

Zitto athibitishe wizi wa JPM sio hizi kelele

JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
 
Jamaa linakurupuka tuu bila kutoa ushahidi
 
Dogo hajitambui, anatumiwa na CCM lakini mwisho wake umeshawadia....wakimchoka tu ama huyu kiongozi muhusika anayemtumia akikata kamba dogo atakuwa na muda mgumu sana ndani ya jamii na hata huko CCM. Ipo siku atakuja kujiua tu kwa laana anazojipa kwa tamaa ya hela.
 
Zitto anajitambuwa sana,kwa siasa zake za kutikisha kibetiti.
Zitto ni survival katika siasa za Tanzania akiuma na kupuliza.
Zitto baada ya kufukuzwa Chadema akaegemea upande wa serikali ili asizame na kuibukia ACT Wazalendo.
Lakini akagundua ACT haipo popular bara,lakini akatumia nafasi nadra na ya dharura kujiunga na CUF ya Maalim Seif.Sasa ACT ni mshirika katika muundo wa serikali ya Zanzibar.
Kama haitoshi akajisogeza karibu na SSH,akakubarika,na anendelea kuvishawishi vyama vya upinzani viendeleze mazungumzo na serikali ya CCM
 
Hahaha hahaaa

Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?

Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?

Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa

Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,

Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!

Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?

Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?

JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
Acha asemwe tu maana Zitto alifilisiwa kipindi jiwe anaingiali sasa unataka afanyaje hayo anayosema wala sio uongo yy muadhirika wa kwanza kwa hilo jiwe
 
Hahaha hahaaa

Zitto unang'ata jiwe kwa kutumia meno?

Eneweyi! Watu husema, Mchwa nao ulijaribu kutafuna mwamba, naweye Zitto unajaribu kutafuna mwamba siyo?

Jiwe halitafuniki mzee! Ni kina nyie nyie mliokuwa mkisema kila makusanyo ya mwezi (TRA) ilikuwa ni data za Kupikwa

Mara hooh! Serikali haina pesa, nchi wahisani hawatoi pesa kwa dikiteta, Mara hoooh, wakandarasi hawalipwi kwa sababu serikali ya dikiteta haina fedha,

Mara hoooh, kaanzisha miradi mingi wakati fedha hazina hakuna, Mara haendi nje na ndiyo maana serikali yake haipewi mikopo kwa sabb kaharibu mahusiano!

Hizo fedha mnazosema JPM kakwapua kazipata wapi na mini kazifanyia?

Wewe mwenyewe unafahamika una mahekalu ya majumba huko nje, sasa utuambie huyo unayemsema kaiba pesa kapeleka wapi na kazipata wapi ili hali mlikuwa mkisema serikali yake haina pesa, takwimu ni za kupika?

JPM amewashinda akiwa hai na bado atawapiga akiwa hayupo
Unaonekana kama umechanganyikiwa...unacheka hovyo kama zwazwa na hoja huweki
 
Back
Top Bottom