Zitto, ACT na wengine pana ka Ukweli hapa

Zitto, ACT na wengine pana ka Ukweli hapa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mtu huvuna alichopanda:

FsVUFW3X0BQBN2e.jpeg


Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya.

Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao.

'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu."

Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza nayo?

Tujifunzeni Kenya, Sengal na kote kwingine ambako haki vikiwamo ukombozi havifanyiwi ajizi.

Watu wanahitaji kupewa hamasa persistently, si kuvunjwa moyo.
 
Back
Top Bottom