B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 29, 2023 #1 Mtu huvuna alichopanda: Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya. Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao. 'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu." Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza nayo? Tujifunzeni Kenya, Sengal na kote kwingine ambako haki vikiwamo ukombozi havifanyiwi ajizi. Watu wanahitaji kupewa hamasa persistently, si kuvunjwa moyo.
Mtu huvuna alichopanda: Ukipanda bangi huwezi kuvuna nyanya. Ni muhimu wanasiasa kujifunza umuhimu wa kutokuwakatisha tamaa wananchi ambao ndiyo mtaji wao. 'Ni wazi hili la kikosi kazi lilikwàza watu." Wanajitokeza vipi watu kwenye shughuli zenu kama pana mambo ya msingi tu mnayo wakwaza nayo? Tujifunzeni Kenya, Sengal na kote kwingine ambako haki vikiwamo ukombozi havifanyiwi ajizi. Watu wanahitaji kupewa hamasa persistently, si kuvunjwa moyo.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 29, 2023 #2 Kuna ujinga na wajinga
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 29, 2023 Thread starter #3 johnthebaptist said: Kuna ujinga na wajinga Click to expand... Ukiwa chawa mawili hayo kwa pamoja lazima yakuhusu 🤣🤣
johnthebaptist said: Kuna ujinga na wajinga Click to expand... Ukiwa chawa mawili hayo kwa pamoja lazima yakuhusu 🤣🤣
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Mar 29, 2023 #4 Lukas Huo ndo ukweli
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 29, 2023 #5 Zitto ni mtu wa fursa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 29, 2023 Thread starter #6 Bejamini Netanyahu said: Zitto ni mtu wa fursa Click to expand... Wote wa aina yake tusiache kuwapigia kelele kwenye madogo hata makubwa. Mdogo mdogo, tutafika tu.
Bejamini Netanyahu said: Zitto ni mtu wa fursa Click to expand... Wote wa aina yake tusiache kuwapigia kelele kwenye madogo hata makubwa. Mdogo mdogo, tutafika tu.