Huyo Zito amekuwa ni msemaji wa wahisani siku hizi?
.Tatizo Wapinzania wetu huwa wanashindwa kujipanga na sera makini ,huwa wanakimbilia mapungufu ya CCM katika Kampeni zao badala ya kuja na sera mpya,Kushinda uchaguzi ni mpigango iliyo dhabiti n siyo mipango ya kama kufungua ukumbi wadisco
kazi kweli kweli jamani mi nashangaa sana wapinzani wanapokuwa ni mawakala wa wafadhili...wametumwa au....wanajipendekeza ili...waonekane wanajali...?ni kwelii wanajali au wanatafuta njia kujulikana na kuonyesha uwepo wao?je wanajali kwenye nyanja zote?sina ugomvi na wapinzani wa chama tawala ila nataka usawa wa kutetea na kuwakilisha aspects zote...heshima mbele..nawakilisha
nina mashaka sana na hiki kichwa cha habari ! Zitto katoa hoja, na sasa hoja hiyo imekuwa siri nzito jamani ?? ebu, hivi ni gazeti gani hili wameandika hiihabari ? ahhh, nshajua !
Media naona sasa inaanza kubomoa badala ya kujenga !
..hivi,kuna ulazima wa kupata hiyo misaada ya fedha za bajeti?
..kwanini tusile pale kamba iliyotufunga inapofika?
..yangu macho,hii bajeti ina kila dalili za kudoda.
Unajua ushauri mmoja wa bure kabisa ambao naweza nikawapa freemedia (Tanzania Daima) na CHADEMA kwa ujumla ni kwamba, lazima wajue hilo gazeti lao wanalotumia kuwatengeneza pia linaweza kuwabomoa vile vile. Maana kama ni kupima (from a scale 1-10) ya headlines anazopata zitto (nakubali ni mfanyakazi hodari) lakini hizi sifa nyingine zitakuja kumuangusha, why because ukiangalia hiyo scale ni kwamba watu washazoea kupata material toka kwake not less than 7-10 ( 7 to 10 ) sasa ikipungua hiyo na akianza kuleta less than 5-10 (5 to 10)to the table, watu wataanza kusema kaishiwa,kafilisika na wataanza kumpuuzia TRUST ME !
Big up zitto. Lakini hao tanzania daima wanaweza kukuangusha vile vile !
Mie nashangaa na kujiuliza .Je ni kweli JK alijiandaa kuwa Rais kwa maendeleomya Watanzania ama alitaka ndoto yake itimie kama amekuwa Rais yeye na washkaji zake ?Usiri ni mkubw akila mahali na majibu si ya uwazi kabisa .Kulikuwa na haja ya Mkullo kulia na wapinzani ? Kwani hii Nchi si yetu sote ?
YAANI WEWE UNAMDOMO MCHAFU MBOWE KAKUKOSEA NINI? KAMA HAO NSSF WAMEMPA KUTOKANA NA MIKATABA YAO WEWE INAKUUMA NINI?
UNASHINDWA KUJIULIZA KWANINI SERIKALI IMEUZA VIWANDA VYOTE TANZANIA,HII INAMAANISHA NINI MAANA MTU KUUZA KILAKITU INAMAANA CCM IMESHINDWA ..........KURA TUTAMPA MBOWE 2010 BILIEVE ME MAANA SI NYINYI MMESHINDWA SASA HATA KAMA HATOWEZA LAKINI HATUHAIDI TU KUWA ATAWABANA MRUDISHE MLICHO IBA TUTA MPA NA HII ISUE INAENDA MPAKA NDUGU ZETU WOOOOTE WAVIJINI TUMESHA WAPA SEMINA YA KUTOSHA TUONE KAMA MBOE HAKICHUA NCHI HAMTARUDISHA MLICHOKULA.
wewe na nani ? maana mimi sitompa, bora aachie ngazi ! amuachie basi hata slaa, maana yeye ananuka ufisadi !
Na mimi! tutampa mbowe.