Mm nadhani hoja ya mchakato kumpata mgombea/ wagombea ipate muda mzuri,Haya mambo ya dharula ,tunashuhudia athari zake. Kwa maswali Yale ya kibabe ya mkuu, naona hatari kubwa watalaam wenye weledi wasio na njaa kujiuzulu,vinginevyo kuaibishwa na kupotezwa.Yanatimia ya IDD Amin Dada