Zitto: Ahsante Maalim kwa maisha yako

Zitto: Ahsante Maalim kwa maisha yako

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
"Mwaka sasa umetimia tangu ututoke. Ulituachia misingi imara kiuongozi. Tumeendeleza wosia wako wa kututaka kupigania Maridhiano ya Wazanzibari kwa nguvu na juhudi zote. Tumeendelea kushikamana na kuimarisha Taasisi yetu ya ACT–Wazalendo. Asante sana kwa Maisha yako kwetu Maalim."

Kiongozi wa Chama
Zitto

#WeAreTheFuture
#TheFutureIsPurple
#ACTKiganjani

20220217_073349.jpg
 
Zitto kawauza Wapemba kwa bei rahisi.
Ya kama yanayozungumziwa kutokea kwenye uchaguzi juzi ni kweli, mfano kutishiana bastola, kupigana, kutoleana maneno ya kejeli ILIHALI wanajenga nyumba MOJA basi hakuna Chama pale
 
Zitto subiri kwanza huku habari ya mjini ni lisu akutana na Samia,

Kiki zako zipeleke kisiwandui, huku bara huna mvuto.
 
Maalimu seif Allah ampe kauli thabiti hakuna kitu kizuri Kama kujitengenezea mwisho mwema na kumuomba M/MUNGU akujaalie huo mwisho mwema.
 
R.I.P Seif uliwatendea haki Wazanzibar so huyu Zitto mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom