technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
Mbogamboga watasema ni picha za 2015
Watasema Wakati Huo Mwaka ACT HaikuwepoMbogamboga watasema ni picha za 2015
Naona anaapishwa na spikaSi walisema hatarudi Bungeni! Hii nyomi vipi tena?
Naona ameifuta kama alimfuta Membe pesa zake hadi ameenda kwa mabeberu kuomba zingine
CCM isingoje kukabidhi nchi kwa aibu......................CCM haina chake nchi hii kwa sasa!
Mbona wako porini nilidhani Zitto anagombea Kigoma mjini?!
Vyama vya upinzani wangegawana majimbo kikanda ingekuwa tamu sana, ingawa mbogamboga still wanateseka sana na bila mbeleko ya NEC na msajili wa vyama sijui sasa hivi ingekuwaje?
Ni kweli na ndio maana walikuja na mkakati wa wabunge wa viti maalum kwa wanaume a.k.a kupita bila kupingwa.CCM haina chake nchi hii kwa sasa!