ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
"Miongoni mwa Wagombea wetu 218 wa majimbo yote 264 nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa!Wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba). Jumla wagombea 76 wameenguliwa.Tumekata Rufaa Tume ya Uchaguzi na TUPO TAYARI kwa MASS ACTION
Wakati tunaendelea na hatua zote za kisheria ( hatutaacha hata moja ) pia tunaunga mkono wito wa Mwenyekiti wa Chama Taifa Seif Sharif Hamad na Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu kuandamana Nchi nzima kutaka wagombea wetu warejeshwe. Tume ya Uchaguzi iwe makini sana sana."
Zitto Kabwe
Kiongozi wa Chama