Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Mungu atamsaidia na kupona haraka na kuendelea na kutetea taifa lake kwa niaba ya vijana wengi ambao hawezi pata nafasi kama yake kulisemea taifa lao.
 
Nomba kutoa Pole Zangu za Dhati kwa Mhe. Zitto,Nilipokea habari hizi jana nikiwa safarini kutoka Dodoma,na jana usiku nilipita hapa sema sikuwa na muda wa kuandika,

Mungu akupe Afya Njema na Urudi kukata Ishu,
 

Mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Shida Salum na bibi wa mbunge huyo, wakimfariji mbunge huyo aliyelazwa katika hospitali ya Muhimbili Jumatano Dar es Salaam.

Mkuu,

Vipi hali ya mheshimiwa Zitto, anaendeleaje?
 
Mkuu tuko pamoja mungu akubariki upone na urudi kuendeleza mapambano dhidi ya Mafisadi na kulikomboa Taifa lako
Pole sana
 
Anaendelea vizuri, alichukuliwa vipimo na leo hii majibu yanatarajiwa kutolewa ili apatiwe tiba muafaka.
 
Habari nilizozipata mida hii zinasema yuko wodi ya Mwaisela, namba ya chumba sikuweza kuikamata. Lakini habari ni kuwa anaendelea vizuri na Mungu atajalia ingawa najua Mafisadi wanaendelea kumwomba kwa nguvu Shetwani lakini wameshindwa!
 
E mwenyezi Mungu Umjalie afya njema kijana wetu. jaribu kuangalia wazee tuache sisi vijana tupambane
 
Nyie semeni semeni..tu Mara Mansikia Mtu Chali...!!!Hata alipo kua Tanga afya yake ilionekana Namna Gani!!

sijui anaumwa nini...hope atapona!!
 
Waheshimiwa kwanini mnapenda kuchepuka na kuanza kubishanabishana, hata kwenye thread isiyo husika? JF watengenezee "Random arguments thread..."

Zitto Wishing you swift recovery!

Group dynamics! Penye wengi huwa pana mengi including vituko vingi!
 
Get Well Sooner Leader Of The People, Mp Zitto.
Natumai Mpango Madhubuti Wa Kurejesha Afya Yake Unakwenda Sawa.
 
Naomba kuripoti kuwa Mheshimiwa Zitto ameruhusiwa kutoka hospitali mchana huu baada ya hali yake kuonekana kuwa na nafuu. Ameelekea nyumbani kwake kwa mapumziko zaidi
 
Asante kwa taarifa.

Apone kabisaaa, tena haraka na upesi.
 
Waliokaribu wampe Pole zetu, lkn ni vema tukamshauri aoe ili apate mtu wa karibu wa kumpa pole na kumwangalia effective. na Mke ni security kubwa ktk Jamii zetu.
 
Thanks be to God tuzidi kupiga sala kuliombea hili taifa na wale wote wanaojotoa kutetea maslahi yake
 
Mwenyezi Mungu ahimidiwe. Nawashukuru pia madaktari hapo MNH kwa juhudi zao. Wishing a quick recovery buddy
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…