Mwenyezi Mungu ahimidiwe. Nawashukuru pia madaktari hapo MNH kwa juhudi zao. Wishing a quick recovery buddy
Pia tuwaombee wagonjwa wengine waliolazwa mahospitalini na majumbani il warejee ktk hali yao ya kawaida na hatimaye tujenge taifa.
zimenifikia taarifa za uhakika kuwa Zitto alizidiwa jana majira ya usiku na ilipofika saa 5 usiku, watu walio karibu walilazimika kumkimbiza katika Hospitali ya taifa Muhimbili ambako amelazwa hadi hivi sasa. Sijapata taarifa anasumbuliwa na nini hasa.
Natanguliza pole zangu kwake na kumuombea apone haraka na kurejea katika afya yake njema, bado taifa linamuhitaji.
Waliokaribu wampe Pole zetu, lkn ni vema tukamshauri aoe ili apate mtu wa karibu wa kumpa pole na kumwangalia effective. na Mke ni security kubwa ktk Jamii zetu.
hoja nyingine bwana.. sasa mke akiumwa na mme akiumwa inakuwaje? la maana ni mtu kuuguzwa vyema. Kama wengine wanaoana kwa ajili ya kuuguzana basi ipo kazi, 'mbombo iliko'
hoja nyingine bwana.. sasa mke akiumwa na mme akiumwa inakuwaje? la maana ni mtu kuuguzwa vyema. Kama wengine wanaoana kwa ajili ya kuuguzana basi ipo kazi, 'mbombo iliko'
watauguzana. Kuwa na mwenza legal ni muhimu. Kila siku vichenchede hadi lini? Si kwa Zitto tu, ujumbe huu ni kwa vijana wotee mabachelor, msiogope majukumu!
watauguzana. Kuwa na mwenza legal ni muhimu. Kila siku vichenchede hadi lini? Si kwa Zitto tu, ujumbe huu ni kwa vijana wotee mabachelor, msiogope majukumu!
kumbe unajua kuwa huyu kijana kicheche hatumsahau kule tunguu university na kifo cha mbunge wetu
kumbe unajua kuwa huyu kijana kicheche hatumsahau kule tunguu university na kifo cha mbunge wetu
Naomba kuripoti kuwa Mheshimiwa Zitto ameruhusiwa kutoka hospitali mchana huu baada ya hali yake kuonekana kuwa na nafuu. Ameelekea nyumbani kwake kwa mapumziko zaidi
mama wengine wanaona wao wenyewe ni jukumu tosha...
mimi sijui ulikuwa kicheche huko tunguu?
Kijana kama hajaoa hawezi mwenza wake ni kichenchede. Kuoa swala la muhimu. Max anaonyesha njia, wengine mfuate. Kwani Max aweze ana nini na wengine waogope wana nini?
sasa mie kusema mungu ampuzishee kwa amani nimekosea wapi ?
na mungu ampumzishe kwa amani ili tanzania itulie na fitna zake
mmh haya bwana.. si mara moja nimenotice mambo fulani. Well kila shetani na mbuyu wake.. carry on.
mmh haya bwana.. si mara moja nimenotice mambo fulani. Well kila shetani na mbuyu wake.. carry on.