Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 45
watauguzana. Kuwa na mwenza legal ni muhimu. Kila siku vichenchede hadi lini? Si kwa Zitto tu, ujumbe huu ni kwa vijana wotee mabachelor, msiogope majukumu!
aah mwanangu, kwa hiyo wewe wala huogopi kuwa na mwenza, ila tu jinsi ya kumpata ndio tatizo? na kujua kote kutunga mashairi?
Mama
Ni wewe uliyenikataza nisizungumzie kuhusu Chacha kumtelekeza mkewe Tarime aliyezaa naye watoto 12 aliyemsaidia kwenye kampeni na kulowea kwa binti wa kishombeshombe kama kimada wake hapa Dar es salaam? Ni wewe uliyesema kwamba hakuna sababu ya kugusa masuala binafsi ya mtu. Ni wewe huyo huyo hapa unamshambulia Zitto kwamba ana vicheche? Hujui kwamba Zitto ni mzazi? Unadhani mzazi mwenzie akisoma hapa atajisikiaje?
Asha
Kuoa ni muhimu ila sio lazima .
Kuoa ni muhimu ila sio lazima .
Vijana wa CHADEMA wengi hawajaona wala kuolewa iwe wabunge au wakurugenzi wa chama, ni kwa nini lakini? Au ni sehemu ya harakati?
Asha
Vijana wa CHADEMA wengi hawajaona wala kuolewa iwe wabunge au wakurugenzi wa chama, ni kwa nini lakini? Au ni sehemu ya harakati?
Asha
They are 'the new breed of readers'.....Generation X!!Vijana wa CHADEMA wengi hawajaona wala kuolewa iwe wabunge au wakurugenzi wa chama, ni kwa nini lakini? Au ni sehemu ya harakati?
Asha
vijana Wa Chadema Wengi Hawajaona Wala Kuolewa Iwe Wabunge Au Wakurugenzi Wa Chama, Ni Kwa Nini Lakini? Au Ni Sehemu Ya Harakati?
Asha
Wanasema Wanyama Wanapata Maziwa Wanapata Wafuge N'gombe Wa Nini?
Wajaze Mavi Bandani Na Kuhudumikia Kulisha Majani ?
Hao Ndio Vijana Wa Chadema Akina Hao ......
hapa Unamaanisha Ule Msemo Maarufu Wa Mchungaji Dr. Getrudi Lwakatare Kuwa "if You Can Get A Free Milk Why Keep A Cow"?
Kuoana Ni Muhimu Ila Sio Lazima , Kuoa Ama Kuolewa Hakumpunguzii Mtu Uwezo Wa Kuwa Kiongozi Na Pia Haumuongezei Mtu Uwezo Wa Kuwa Kiongozi.