Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Mh. Zitto

May the Almighty make sure that the forces of darkness never get close but are kept at a safe distance. Get well soon comrade.
 
Haya ndiyo maswali ya kuuliza kwani mjadala BUNGENI ni mkali na umefikia mahali ambapo ni LAZIMA UHITAJI WAKE BUNGENI UMEKUWA MKUBWA!
Na hapo ndio kaazi kweli kweli!
Ila tutajuwa kila kitu bana!

Mkapa
Alikua Rais makini .JK pia ni Rais makini ila yeye tofuti na Mkapa ,Mkapa alikua halei watu ,wewe unasema je?
 
ninazo nyingi hapa, so tafuta synonyms ya obese hata kwenye MS word kama unaitumia, au uliza next door kwi kwi kwiii

Ok nenda katika hii ya Cambridge na uangalie maneno hayo mawili na utathibitisha.

http://dictionary.cambridge.org/

Ikiwa tunahitaji more discussion about hii kitu ni hapo baadae.

Niandikie katika PM yangu au sio.

Kwa sasa niko vry wrd na mheshimiwa Zitto, huyu ndie mkombozi wa vijana wa leo.
 
teh teh teh tehhhhhhhheeeeeeeeee

You see?
Mods hata kama huyu mtu katoa dollar elfu ni wa kukanywa!
Kwani wengine wako serious hapa huyu ni mnafiki mkubwa na badala ya kutoa mijadala wewe ni umbeya husuda matusi na mambo mengine yasioendana kabisa na sifa ya UMAMA unayojipa hapa jf!
NI MARA ELFU KUMI MAMA PAROKO!
 
Wakuu,

Hii ni thread kuhusu mkuu mheshimiwa Zitto, hivyo tuendele kukata issue na tuzidi kupata updates zake.

Haya mambo mengine tuyaweke pembeni kwa sasa.
 
Mama unaroho ngumu mimi ningelia kweli!ingawa ni online mtu hakuoni mimi ningelia kabisa!
Jamani hii thread ya Mhe inapambwa kwa matusi sio vizuri!
 
he he he heeeeeeee, KAMA MATUSI SUMU NINGESHAKUFA HUMU JF. Ndivyo mlivyo na ndio maana hamuendelei na hamtaendelea. Mtaendelea kupinda tuuuuu. ha ha ha haaaaaaaaaaa.

Nakubaliana na wewe mia kwa mia na hakuna mtu aliyetukanwa zaidi ya mimi Ngabu the Cassanova.....nimgekuwa nshakuwa marehemi siku nyiiiiiiiingi.....but I'm still kicking (your nasty stinky butt)....bwahahahahahahahahah
 
Mama unaroho ngumu mimi ningelia kweli!ingawa ni online mtu hakuoni mimi ningelia kabisa!
Jamani hii thread ya Mhe inapambwa kwa matusi sio vizuri!

Ulie nini, subiri ukalie labor. Weee matusi yanaua? hata kufinya hayafinyi, after all sio ukweli hata kidogo, UKWELI ndio huwa unauma, he he he he he heeeee.
 
Nakubaliana na wewe mia kwa mia na hakuna mtu aliyetukanwa zaidi ya mimi Ngabu the Cassanova.....nimgekuwa nshakuwa marehemi siku nyiiiiiiiingi.....but I'm still kicking (your nasty stinky butt)....bwahahahahahahahahah

Kep it up, You will never demoralise me! and FYI I have never been DEMORALISED! THE MORE YOU RAIN;STRONGER AND HAPPIER I BECOME! he hehe he he heeeeeeeeee
 
Ulie nini, subiri ukalie labor. Weee matusi yanaua, hata kufinya hayafinyi, after all sio ukweli hata kidogo, UKWELI ndio huwa unauma, he he he he he heeeee.

I lo u Mama....
 
Kep it up, You will never demoralise me! and FYI I have never been DEMORALISED! THE MORE YOU RAIN;STRONGER AND HAPPIER I BECOME! he hehe he he heeeeeeeeee

I still Lo U.....

Tafadhali nakuomba usiniitie Pundit au Nyama Hatari.....pleeeeeease
 
Waheshimiwa kwanini mnapenda kuchepuka na kuanza kubishanabishana, hata kwenye thread isiyo husika? JF watengenezee "Random arguments thread..."

Zitto Wishing you swift recovery!
 

I am dynamic kufuata ukweli with a free spirit, he he he heeeeee.

GET WELL SOON ZITTO KABWE:
 
I still Lo U.....

Tafadhali nakuomba usiniitie Pundit au Nyama Hatari.....pleeeeeease

he he he he hehhhhhheeeeeee, kwi kwi kwi kwi kwiiiiiii. Jamani kazi na dawa, LOL. I love JF!
 
i Am Dynamic Kufuata Ukweli With A Free Spirit, He He He Heeeeee.

Get Well Soon Zitto Kabwe:

Ukweli Uliukubali Kuwa Wangwe Ana Jazba...lakini Kuwa Ni Mkabila Hujawahi Sema!

Wewe Ni Anti Chagga Nakufahamu Sana!

Na Hata Mbowe Mwenyewe Humpendi Kabisa Hilo Nafahamu!

Lakini Kama Ingekuwa Ni Mbowe Tu Humpendi..maybe Ningekuelewa....lakini Hupendi Wachagga Period!

We Ni Mkabila Nakujuwa Vizuri!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…