Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Najiuliza sana huyu kijana alikuwa machachari sana kipindi cha JPM. Alikuwa hapitwi na jambo nliwahi kuamini kuwa siku za usoni atakuwa na mchango mkubwa sana.
Toka miaka ile anakuzwa na Chadema. Kipindi cha Kikwete na Kikwete akimtumia vizuri pia katika hoja mbalimbali ambazo zilikuwa zinahitaji mpiga mbiu aliyekuwa haogopi. Zitto was there
But ghafla nimerudi nchini miaka kama miwili mitatu sasa simsikii kabisa. Najiuliza inawezekana alifariki wakamzika kimya kimya? Haikupaswa iwe hivyo. Taifa lilipaswa kuhusika katika mazishi yake.
Lakini kama yupo hai. Je yu mzima kiafya? Amepatwa na nini? Tusiache vijana kama hawa wapotee tu kirahisi rahisi.