Ngoma nzito kujua nani zaidi, tuanzishe akaunti ya kuwapigia kura kuondoa mzizi wa fitina
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.
Wwillie!
Kama viongozi wa Chadema wote wameweza kuweka sera ya Katiba mpya kwenye ilani yao, ambayo Kikwete na wenzake wameona ni ya manufaa kwa Taifa wanaitekeleza. Napata taabu kidogo kujua sera za Zitto kama Zitto na Slaa kama Slaa ila naziona sera za Chadema. labda kama kuna mtu anaziona sera za Zitto anishirikishe- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.
Wwillie!
Mapema sana kumfananisha na slaa wacha afanye kazi kwanza miaka 10 ndo naweza nikaja na dhana ya kumfanaisha na slaa ila namkubali sana.Anasimamia kile anachokiamini kama deo filikunjombe.Ila kumfananisha na slaa bado ananafasi ya kumfikia mzee kama atakuwa msikivu na kujifunza kile asichojua.
Kwa nafasi yake bungeni sasa hivi ni wakati wake, Dr alishafanya hiyo akiwa mjengoni nae
policies hazifanyyi kitu ni documents tu!!- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.
Wwillie!
Hapa lazima wakina Rejao na Ritz watie timu, make wanapenda sana thread za aina hii
wewe acha ushabiki usio wa maana,Slaa ana lolote kwa Zitto.,Slaa amemzidi Zitto umri tu.Zitto anakubalika hadi vijijini na kwa watu wote.
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.
Wwillie!