Majibu yanapatikana humu. Www.adotanzania.blogspot.com
Hujui hata kinachoendelea duniani,
wagiriki wana madeni, spain hali mbaya na manchi kibao ya ulaya maji shingoni now! kenya tu majirani zetu wana madeni kuliko tanzania , ikiwa hao eu na wengine ndio wafadhili wakuu wetu sasa itashindikana vipi kwa ombaomba kama TZ kukosa madeni.
Acheni kuwapotosha watu nyie
angalia hapa:
Greekpublic debt : $374,758,904,110
public debt per person: $34,103.09
Tanzaniapublic debt : $4,971,232,877
public debt per person: $111.20
Kenyapublic debt: $14,962,191,781
public debt per person: $369.50
source: World debt comparison: The global debt clock | The Economist
Hujui hata kinachoendelea duniani,
wagiriki wana madeni, spain hali mbaya na manchi kibao ya ulaya maji shingoni now! kenya tu majirani zetu wana madeni kuliko tanzania , ikiwa hao eu na wengine ndio wafadhili wakuu wetu sasa itashindikana vipi kwa ombaomba kama TZ kukosa madeni.
Acheni kuwapotosha watu nyie
angalia hapa:
Greekpublic debt : $374,758,904,110
public debt per person: $34,103.09
Tanzaniapublic debt : $4,971,232,877
public debt per person: $111.20
Kenyapublic debt: $14,962,191,781
public debt per person: $369.50
source: World debt comparison: The global debt clock | The Economist
Hebu tupe takwim za opinion polls ulizofanya kufikia conclusion yako.Zitto anakubalika zaidi kwenye jamii ya Kitanzania kwa vijana kwa sehemu kubwa na baadhi ya wazee..Slaa anakubalika kwa baadhi ya vijana wa Kaskazini pamoja na wazee wa pande hizo.
zitto ni hazina ya taifa ila slaa ndio wakati wake.
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.
Wwillie!
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. Ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. Huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze taifa letu 2015 iwe kupitia cdm au chama chochote cha upinzani.
Kuna watu huwa wagumu kuelewa kweli, ishu ya urais huu sio wakati wake kwa cdm lakini mmeng'ang'ania zitto kuwa rais utadhani wewe ndo mwamuzi wa cdm wote nyie ndo mnamtia ujinga huyo dogo nyambafu.