Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Zitto ametweet dk chache zilizopita ameandika "Nimezunguka Nchi yetu na kuona hisia za Watanzania. Juzi Mtwara Mjini alinifuata mama mtu mzima sana na kuniambia “mwanangu mmeshindwa kukubaliana Mgombea mmoja? Tafadhali mwanangu jitahidini”. Nilipata uchungu sana moyoni. Watanzania wanataka MABADILIKO. TUNAWAPA"