Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mbona kuna video nimeiona twitter juzi, Zitto pia akimpigia kampeni mgombea udiwani wa CDM, naamini wameshakubaliana lakini BM hajaifiki.kwa sasa mwenye chama chake ni Maalim ambaye tayari keshasema #NIYEYE2020.
Baraza la mawazili wa serikali ya mseto na walio kubali uasi dhidi ya jiwe, Membe ndiye coordinator wao.Mbona wakati anahojiwa na chombo kimoja cha habari kutoka Kenya, alisema kwamba waTanzania wasione wapo kimya. Eti wapo busy kuandaa baraza la mawaziri na ndio maana hata BM haonekani tena kuendelea na kampeni.[emoji23][emoji23][emoji23]
Atasubiri Sana, labda 2040.Zitto awe mpole asubirie wizara nyeti hapo baada ya kuapishwa Rais wa awamu ya sita Mh Tundu Lissu.
Endelea kuota ndoto mkuuAtasubiri Sana, labda 2040.
Mbowe alimfukuza Zitto na wenzake na kuwaita wasaliti ndo Zitto akaanzisha ACT,Sasa leo undugu na CDM unatoka wapi? Wanafiki siyo watu wazuri.Kiufupi tuko pamoja 2020. Act na CDM ni ndugu.
Baba kumfukuza mwanae si mwisho wa uhusiano waoMbowe alimfukuza Zitto na wenzake na kuwaita wasaliti ndo Zitto akaanzisha ACT,Sasa leo undugu na CDM unatoka wapi? Wanafiki siyo watu wazuri.
Ni maneno ya Mtu mzima na mwenye akili. Ongeza na za kwako utapata jibu kuwa Zitto amekusudia kusema ni LISSU 2020.Zitto ametweet dk chache zilizopita ameandika "Nimezunguka Nchi yetu na kuona hisia za Watanzania. Juzi Mtwara Mjini alinifuata mama mtu mzima sana na kuniambia “mwanangu mmeshindwa kukubaliana Mgombea mmoja? Tafadhali mwanangu jitahidini”. Nilipata uchungu sana moyoni. Watanzania wanataka MABADILIKO. TUNAWAPA"
Mbona mkanganyiko sana?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 1576917
[/QUO