Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Kumbe ana tuhuma za kijibu!
Kibunango.
Kwakuwa wewe ni kilaza ndo maana unajifanya hujui kama anatuhuma za kujibu.Ofcoz anazo.Mengi yalisemwa kipindi hayupo hivyo ni lazima ajibu ili mambo yanende hivyo.
Kibs sio kilaza bana ... katika hili nitamtetea .... ila zito itabidi ajibu tuhuma zote dhidi yake.
Umamtetea bure Kibunango.....ni kilaza wewe jaribu kufuatilia michango yake haijatulia kabisa.
Umesoma michango yake kwenye mambo ya ujenzi, mipango, na usafi wa miji? the guy ni pro kwenye hayo maneno (we acha tu).
Atakuwa amecopy na ku paste tu !
Kumbe ana tuhuma za kijibu!
Mbona hakuna cha maana hapo? Kwani mtu anatumia muda gani kuandika barua hadi atembee nayo. It is a matter of second. Akiongelea haya basi na yeye kwishneii. Nashauri angekwenda kwa wapiga kura wake akawaeleze anavyotekeleza aliyowaahidi.Nd. Kibunango,
Tuhuma hana, isipokuwa wengine tungelipenda kujua tu kama ile barua bado anatembea tembea nayo mfukoni au kaiacha huko huko Ujerumani!
Mbona hakuna cha maana hapo? Kwani mtu anatumia muda gani kuandika barua hadi atembee nayo. It is a matter of second. Akiongelea haya basi na yeye kwishneii. Nashauri angekwenda kwa wapiga kura wake akawaeleze anavyotekeleza aliyowaahidi.
Kibunango.
Kwakuwa wewe ni kilaza ndo maana unajifanya hujui kama anatuhuma za kujibu.Ofcoz anazo.Mengi yalisemwa kipindi hayupo hivyo ni lazima ajibu ili mambo yanende hivyo.
Na kule kwenye mambo ya kikubwa, Kib rocks!Umesoma michango yake kwenye mambo ya ujenzi, mipango, na usafi wa miji? the guy ni pro kwenye hayo maneno (we acha tu).
wakuu
heri ya xmass na hongereni kwa mapumziko kwa wale mlioko mapumzikoni,naamini tumepata muda mzuri wa kutafakari kwa kina mafanikio tuliyoyapata mwaka huu yawe ya binafsi ama ya taifa.
Muda mfupi uliopita nimeona kijana zitto mitaa ya kati lakini sikupata bahati hata ya kumsalimia tu ingawa nilitamani kufanya hivyo.nimefurahi sana kumuona zitto kwakuwa nadhani na pia nashauri afanye mkutano na media ili aweze kujibu tuhuma zote tulizozisikia na kuzisoma kipindi ambacho hakuwa nchini.ni vema tukamsikia nakumuona live kwenye luninga akijibu tuhuma hizo.
Mfadhili wako mbowe, baba mkwe wake pamoja na wewe msingekuwa terrified kiasi hicho..kichwa hicho kinawasumbua chadema nzima poleni..Mtu kama Zitto atatumia miezi miwili kuandika hii barua.