Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kauli ipi?Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi
Una kiherehereKauli ipi?
Sio kila mtu anamsikilizaga Makala
Makalla kweli ni makala. Yaani huyu jamaa amekuwa hewa kupita maelezo. Kwa mtu mzima mwenye kubeba dhamana kubwa kuongea ujinga ina onyesha ni kwa kiasi gani hii nchi ina ongozwa na wajingaMwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Sio UNAZI tu bali ni "ULANZI" huko ni kuweweseka kwa Makala na CCMMwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Kwa nafasi ya Makala hiyo kauli sio yake... Ni ya KAMATI KUUMwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Kuhusu "hewa";Unamaanisha nini mkuu?Kweli hata mimi nilikuwanamheshimu huyu Makalla ila kwa kauli hii kumbe huyu jamaa ni Hewa kabisa
Kwani Zitto amethibitisha kilichosemwa na Makalla sio kweli?Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Ushuzi wa mtu aliyekula maharage mabichi na mayai mkuuKuhusu "hewa";Unamaanisha nini mkuu?
Je,ni hewa ukaa au ni ushuzi?
Huyu ni Makala ni kirusi mwenyeweMwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Kauli yake ina athari kubwa sana kwenye uchumi wa nchi. Maana watalii wanaweza pungua Kwa sababu ya kuhofia usalama wao, hivyo Royal tour itakuwa Haina maana Tena. Yaani Kwa ufupi "Hajatumia akili"Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu sio uenezi ni UNAZI. Bwana Makalla afute kauli hii na kuomba radhi. Tunaweza kufanya siasa kwa hoja sio viroja hivi"
View attachment 3281069
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Kwani Zitto amethibitisha kilichosemwa na Makalla sio kweli?
Unahisi kwa hiki ulichoandika umetofautiana na mtu mjinga na mpumbavu? Ebu rudia kusoma ulichoandika.Swali la kijinga. Labda na wewe ni miongoni mwa watupu kichwani.
Kuna vitu vingine logic na akili ya kawaida, kama unayo, unakuongoza kuwa ni upum.bavu.
Hivi kwa mfano wewe ukaibiwa magunia ya mahindi 1000, halafu akatokea mpuuzi mmoja akakuambia kuwa yeye anamjua mhusika, alimwona jirani yako amebeba magunia 1,000 mgongoni; utaenda kufanya uchunguzi ili kuhakikisha kama kweli jirani yako huyo alibeba hayo magunia 1,000 ya mahindi mgongoni?