Zitto asikiliza maoni ya mwana JF,apunguza safari za Liverpool ili kuleta maendeleo Kigoma

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kutoka JF siku ya jana ambapo memba mmoja alilalamikia tabia ya mbunge Zitto Kabwe kutumia mamilioni ya shilingi kwenda Uingereza kuishabikia timu yake ya Liverpool pamoja na mambo mengine kutumia kiasi kikubwa cha pesa kukaa front row katika uwanja wa Anfield huku akiishi katika hoteli za nyota nne na nyota tano,pamoja na chakula na vinywaji huku akishindwa kuinunulia timu ya jimbo lake jezi ambazo hazifiki hata laki 5.

Zitto Kabwe ameonesha kujali na kutaka kuendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo baada ya kuamua kufuata maoni ya memba huyo ambapo amekubali kununulia jezi timu ya Mashujaa wa lake Tanganyika jezi nyekundu ambazo thamani yake bado haijawa wazzi.
Wakuu tutumie vizuri JF.
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) September 28, 2018
 
So far so good zitto Kabwe nadhani ni miongoni mwa wabunge wachache ambao hawapokei sitting allowance yoyote bungeni. Nadhani wapo wawili tu
Hivi hizo pesa zinapelekwa wapi ikiwa wahusika hawazichukui?
 
Mi ninachojua alienda huko Liverpool kwenye mkutano wa Chama cha Labour kama sijakosea, sina hakika kama kila week anaenda huko kuangalia mpira
 
Ni haki yake yeye kuwa mbunge haimzuii kiishi maisha mengine nje ya siasa.wewe mwenyewe unapenda kuiona timu yako pendwa MAN U.sema huna chapaa
 
Wafadhali ndio wanawatumia ili wavuruge nchi na mshahara wenyewe ndio huo wa vascodagama walahi
Chezea mdhungu
Vijana wanafanya mambo ya miaka ile ya ukoloni
 
Mi ninachojua alienda huko Liverpool kwenye mkutano wa Chama cha Labour kama sijakosea, sina hakika kama kila week anaenda huko kuangalia mpira
Ndio mnataka kuaminisha vilaza kwa style hii?
 
Hakutoa machozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…