Wewe Una Nini?
i wonder how long he*ZITTO* has been with amina chifupa mpaka kuandika kurasa zoooote hizo kuhusu amina (alisema alikuwa nae katika kuhesabu kura, na walikuwa wabunge
-je amina huyo amekaa bungeni muda gani mpaka kuelewana na zitto hivyo ?
je zitto alikuwa "rafiki tu" au walikuwa zaidi ya marafiki ?
-je kuna uwezekano zitto akawa anajua nini kilichomsibu amina kama rafiki yake wa karibu sana
-mengine meeengi kuja baadae !
! kama sio hivyo basi ASITUMIE JINA LA AMINA KUPATA UMAARUFU !!
Hiki kitabu kilitoka?
Waliosoma hicho kitabu kinazungumzia nini? siamini kwamba tokea 2007 kiwe hakijatoka tu.