zitto ataka wabunge wa zamani waombe radhi
..........kutokana na hali hiyo, aliyewahi kuwa mbunge wa kisesa kuanzia mwaka 1995 hadi 2000 kupitia udp, bw. Erasto tumbo, ambaye sasa ni mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema aliwaomba radhi watanzania hadharani kwa kuwa miongoni mwa wabunge waliopitisha sheria hiyo.