Alichokisema Mh. Zitto ni hiki hapa:
1. Hakuna popote alipomtaja Mh. Mbowe.
2. Amezingatia na kuheshimu wasiokuwapo kwa sababu zao.
3. Ameomba "kusaidiwa" kwa mwenzao ambaye angekuwa hapo ila kwa changamoto za kisheria.
Chadema ulikuwa ni msimamo wao kutokwenda kwenye mkutano huu. Sababu zao za kutoshiriki ziliwekwa wazi (Mbowe kuwa gerezani haikuwamo).
Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu
Ni dhahiri kuwa Mbowe hata kama angekuwa huru asingeshiriki mkutano huu.
Ikizingatiwa Mh. Zitto amekanusha kumwombea Mbowe msamaha na uzito wa neno "tusaidie" alilolitumia kwa mwenzao ambaye angekuwa pale, kuna uwezekano mkubwa alikuwa alimlenga zaidi Sabaya.
Izingatiwe Sabaya tayari ni mfungwa na hivyo kumfanya kufuzu sawia kwenye kuweza kupata msamaha wa rais pasipokuwa na kizingiti chochote.
Kumhusu Mh. Mbowe mwenye shauri lililo la kisiasa:
"kumwachia huru bila ya masharti yoyote yeye na wote wanaoshikiliwa kama yeye, ungekuwa mwanzo mzuri kwenye kuonyesha nia njema ya kulitibu taifa."
-----
Angalizo: Utulivu uliopo Zanzibar sasa usitenganishwe mno na bakshish kadhaa wanazopata kule kutokana na rais kuwa mzanzibari.