Watanzania hatuna wanasiasa wa upinzani bali tuna political mercenaries.Baaada ya Hamadi Rashidi, Mrema na Sasa Kitila, kuna uwezekano mkubwa Rais wetu akaendeleza nia yake ya kuwashirikisha wapinzani katika serikali yake na kwa mantiki hiyo zitto atakuwa miongoni mwa ambao wanaweza kushirikishwa. Lakini pia hata akina Mbowe, Lowassa, Maarim wajiandae na Nina uhakika hakuna atakayeteuliwa na akatae
CUF ya Lipumba ni B na ACT ni CHuja kosea ninajua ACT ni ccm B
Baaada ya Hamadi Rashidi, Mrema na Sasa Kitila, kuna uwezekano mkubwa Rais wetu akaendeleza nia yake ya kuwashirikisha wapinzani katika serikali yake na kwa mantiki hiyo zitto atakuwa miongoni mwa ambao wanaweza kushirikishwa. Lakini pia hata akina Mbowe, Lowassa, Maarim wajiandae na Nina uhakika hakuna atakayeteuliwa na akatae
Kwani ni ajabu timu kubwa kuteua wachezaji kutoka kwenye timu yao ndogo? Hilo ni jambo la kawaida sana.
Mbona mbatia hatajwi?
Zito mtarajiwa waziri nishat na madiniHii teua ya rais katika upinzani naona amelenga kukibomoa chama cha ACT,baada ya uteuzi wa kitila aliefuata ni mghwira natumaini atakaye fuata ni zitto katika wizara ya madini na kukiua rasmi, katika ramani za kisiasa chama hicho,swali ni je teuzi za rais zina mantiki katika ujenzi wa nchi hii au ni kutaka kuwakondesha mahasimu wake?