Zitto Kabwe acha kutumika

Zitto Kabwe acha kutumika

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala.

Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali alie na asili ya nje hili huficha sana sijui kwa nini.

Chadema alikuwa anawasiliana na Kikwete (udini)sana. Zitto ni extremist wa dini sana ndio maana yuko busy na siasa zenye kuumiza waislami sana hata kwao pale mtaa wa Anna ujiji pako hivyo.

Kwa Magufuli alijisogeza sana hasa alikuwa anavizia uwaziri wa madini mzee akakaba, akaanza kupayuka.

Leo anamsogelea mama kwa gia ya kujifanya mstaarabu (aliwahi muita magu mshamba) na kama mdee bungeni naye ana act kama cha cha pili kwa ushindi, ndio maana mama skamtumia, uzuri Chadema wanajua karata zake zote hata lissu aliita kikao kile kilitumia mamluki( unadhamu mkuu wa mamluki ni nani?)

Na akasema hawataki huruma ya Zitto wanataka stahili .
Ngoja nika bet ntarudi
 
Wanasiasa Tanzania [emoji1241] hii wote wana ugonjwa au maradhi aina moja.
Nayo ni TAMAA ya madaraka ili wapate mali zaidi wao na familia zao.

Kule chama tawala wao wamekumbwa na virus mpya inayoenea kwa kasi ya UNAFIKI2015.

Haya maradhi ni sugu na itatuchukua muda watanzania kugundua tiba yake.

Kwa sasa yameendelea kusambaa hadi kwenye social media platforms, kila uchao.

Tumuombe mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga.

Kwa kutumegulia kundi jipya la wanasiasa wenye uzalendo wa kweli na uchungu kwa taifa lao.
 
Zitto ni mwerevu sana....anafanya siasa za kisomi...
 
NI mwendo wa KUsaka fursa ata ungekuwa wewe leo
 
Wanasiasa Tanzania [emoji1241] hii wote wana ugonjwa au maradhi aina moja.
Nayo ni TAMAA ya madaraka ili wapate mali zaidi wao na familia zao.

Kule chama tawala wao wamekumbwa na virus mpya inayoenea kwa kasi ya UNAFIKI2015.

Haya maradhi ni sugu na itatuchukua muda watanzania kugundua tiba yake.

Kwa sasa yameendelea kusambaa hadi kwenye social media platforms, kila uchao.

Tumuombe mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga.

Kwa kutumegulia kundi jipya la wanasiasa wenye uzalendo wa kweli na uchungu kwa taifa lao.
Mbowe mwenyekiti wa kudumu huko Saccos
 
Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala.

Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali alie na asili ya nje hili huficha sana sijui kwa nini.

Chadema alikuwa anawasiliana na Kikwete (udini)sana. Zitto ni extremist wa dini sana ndio maana yuko busy na siasa zenye kuumiza waislami sana hata kwao pale mtaa wa Anna ujiji pako hivyo.

Kwa Magufuli alijisogeza sana hasa alikuwa anavizia uwaziri wa madini mzee akakaba, akaanza kupayuka.

Leo anamsogelea mama kwa gia ya kujifanya mstaarabu (aliwahi muita magu mshamba) na kama mdee bungeni naye ana act kama cha cha pili kwa ushindi, ndio maana mama skamtumia, uzuri Chadema wanajua karata zake zote hata lissu aliita kikao kile kilitumia mamluki( unadhamu mkuu wa mamluki ni nani?)

Na akasema hawataki huruma ya Zitto wanataka stahili .
Ngoja nika bet ntarudi
Nyie Chadema mna matatizo, chama chenu aliwaachia, sasa mnatafuta tu mpaka nje ya chama chenu!

Kwani wewe nani asiyejua kua asili yako ni TIGONI.😙😙😙😙.
 
Asante kwa kunikosea heshima
 
Asante kwa kunikosea heshima
Muombe kwanza msamaha Zitto kama kweli wewe una busara! Mnatukana sana Zitto, halafu yeye yuko kimya. Pamoja na ukimya wake nyie kila kukicha ni kumchafua Zitto!

Halafu watu Wa Kigoma kila kukicha ni kuwashutum kubusu asili yao! Mbona hajadili asili zenu, vipi asili ya Watz wengine wa mipakani mikoa mingine mbona hamjadili?

Wewe ni mbaguzi! Leta hoja za kujenga kwa Watanzania, sio za kibaguzi. Unaanza kujadili asili ya mtu! Mwaga na wewe asili yako.
 
Back
Top Bottom