Zitto Kabwe ahoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo vya Maabara Kuu ya Taifa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19

Zitto.JPG

Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.

Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
 
Si aende kwenye page ya kigogo atapata idadi ya wagonjwa na waliozikwa usiku.
 
Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.

Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
Kwani nyinyi ndiyo mliunda tume ya uchunguzi mbona mnakihehere sana? Hayawahusu tulizeni mishono!
 
Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.

Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
Only in Tanzania
 
hangaika na saccos yako iliyobaki na wabunge 15 wanaomwabudu Mwenyekiti wa Maisha Mh. Mbowe Mugabe!
Sio kwamba kwa kuwa unatumia jina bandia ndiyo unatukana tukana hovyo. Jina bandia haliondoi undani wa tabia yako.

CHADEMA ilianza bila kuwa na wabunge na ikapata wabunge. CCM yenye wabunge wengi bungeni kuna jambo gani la tija au manufaa wamelifanya kwa watanzania kwenye vikao vya bunge hilo vinavyoendelea huko Dodoma??
 
Sio kwamba kwa kuwa unatumia jina bandia ndiyo unatunakana hovyo. Jina bandia haliondoi undani wa tabia yako.

CHADEMA ilianza bila kuwa na wabunge na ikapata wabunge. CCM yenye wabunge wengi bungeni kuna jambo gani la tija au manufaa wamelifanya kwa watanzania kwenye vikao vya bunge hilo vinavyoendelea huko Dodoma??
Kuna tusi hapo kwenye comment yangu? Kumbe kusema Saccos inakufa ni tusi nilikuwa sijui mkuu. Pole.
 
Mrudisheni basi kazini Dr. Nyambura maana hadi sasa waziri anaendelea kulazimisha matokeo yaendane na ya Jiwe la sivyo kesho Kangi lugola anapewa uwazir wa Afya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Back
Top Bottom