OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Team mipasho mko busy mbaya kabisa this time around.Kiherehere cha Zito Kabwela.
Team mipasho mko busy mbaya kabisa this time around.
Wao ndiyo walipima mapapai??Mbona Mange na Kigogo wanatoa ripoti kila siku,
Kwani nyinyi ndiyo mliunda tume ya uchunguzi mbona mnakihehere sana? Hayawahusu tulizeni mishono!Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.
Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
Tuliza mshono wewe!! hangaika na saccos yako iliyobaki na wabunge 15 wanaomwabudu Mwenyekiti wa Maisha Mh. Mbowe Mugabe!Wao ndiyo walipima mapapai??
Only in TanzaniaKupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.
Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
Sio kwamba kwa kuwa unatumia jina bandia ndiyo unatukana tukana hovyo. Jina bandia haliondoi undani wa tabia yako.hangaika na saccos yako iliyobaki na wabunge 15 wanaomwabudu Mwenyekiti wa Maisha Mh. Mbowe Mugabe!
Kuna tusi hapo kwenye comment yangu? Kumbe kusema Saccos inakufa ni tusi nilikuwa sijui mkuu. Pole.Sio kwamba kwa kuwa unatumia jina bandia ndiyo unatunakana hovyo. Jina bandia haliondoi undani wa tabia yako.
CHADEMA ilianza bila kuwa na wabunge na ikapata wabunge. CCM yenye wabunge wengi bungeni kuna jambo gani la tija au manufaa wamelifanya kwa watanzania kwenye vikao vya bunge hilo vinavyoendelea huko Dodoma??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mrudisheni basi kazini Dr. Nyambura maana hadi sasa waziri anaendelea kulazimisha matokeo yaendane na ya Jiwe la sivyo kesho Kangi lugola anapewa uwazir wa Afya..
Sent using Jamii Forums mobile app