Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

Kuna mtu kamzuia kufanya kazi yake?

Huo ni uchambuzi mdogo mdogo unaomuhusu.

Huwezi zuia asichambuliwe, ccm wenyewe mmemchambua sana mbowe hadi kumfunga kuna wanachadema walio wazuia?

Iweje wewe uje kumkingia kifua asichambuliwe?
 

Chadema wako busy na katiba mpya ndugu:

 
Zitto ni mnafiki sana!

Poleni maio mjua ndumilakuwili huyu wa kisiasa
 

Walishirikiana na ACT kwasababu ya uwepo wa Maalim Seif na sio zaidi ya hapo.
 
Alitaka kuwa mwenyekiti,kitunambacho ni dhambi kubwa sana chadema
 
Haihitaji miwani kuuona unafiki wa Zitto, achilia mbali historia ya wapinzani wa Kigoma mara nyingi wamekua wanafiki sana ukianzia kwa Dr. Aman Kaburu

Zitto ni mnafiki na ni mamluki wa CCM ipo hivyo Bro. haiwezi tena kubadilika unafiki upo kwenye damu na ni ASILI ya watu wa huko tunawajua vizuri.

Mimi ni jirani zangu huo ndio utaratibu wao
 
Unadhani kwanini Othman Masoud au Maalim Seif hawashambuliwi lakini anashambuliwa Zitto tu ?
 
Dogo mbona unalianani kakuzuia kufanya siasa

Tatizo lenu ni kuwa watu wenye akili hawataki utapeli wenu
 
Swali kutoka mtoa mada ni, 'zitto aliwafanyia kisa gani chadema?'!

Hilo ndo tunalohangaika nalo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wa Kigoma bana Inshallah nyingi hamna lolote wanafiki wakubwa tunawajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…