Mikomangwa
Senior Member
- Sep 30, 2010
- 100
- 4
jamani kazi aliyoifanya kijana zitto pale mjini musoma inaumbua kura za maoni za redet na synovate. Wana wa musoma walisahau kama kuna kampeni za mgombea urais wa cuf na kutembea kilomita mbili nje kidogo ya mji kwenda kuwaona makamanda zitto na vicent wakilishambulia jukwaa kwa matumaini ya ushindi. Tumshauri zitto aende pia jijini mwanza akakate mzizi wa fitna.
wako wapi akina tandale one na malaria sugu ambao walikuwa kila siku wakiuliza zitto yuko wapi. Mbona tandale one kapotea sana. Strtegy ya zitto nimeipenda sana ya kutafuta wabunge ili wakaendelee kuchapa kazi bungeni. Big upp zitto!!!!