Zitto Kabwe ampinga Waziri Masauni, asema Utekaji upo na unaendelea hivyo Waziri aukomeshe!

Zitto Kabwe ampinga Waziri Masauni, asema Utekaji upo na unaendelea hivyo Waziri aukomeshe!

Zitto Kabwe amemtaka waziri Masauni atembelee vijiji vya Kidegye, Heru Ushingo na Katanga wilayani Kasulu akashuhudie madhila ya Utekaji

Zitto Kabwe amelalamika ukurasani X

Ahsante [emoji209]
Huyu kasha kua toothless dog, huwezi kua sehemu ya serikali tena ukosowe hiyo serikali......
 
Sema Zitto ni masta likija suala la unafiki
 
Back
Top Bottom