Zitto Kabwe aripoti Akiwa JUBA sasa hivi


Sisi mambo ya msingi kwa sasa ni POSHO za wabunge, zamani kidogo ilikuwa katiba na Dowans na zamani saaana ilikuwa EPA hayo mengine waachieni wakenya sawa?
 
Tuacheni kuhamisha personal status za watu fb kuleta hapa jf,nilivyoiona kule fb,nadhani mhe.zitto kawajulisha frnds wake kule fb kuwa yupo juba,anajua language anayoitumia kule,then wewe unabeba kama ilivyo kuleta hapa Jf ili kumjudge!crap..haina maana kila kitu m2 anachoandika twitter,fb au kokote,tukilete hapa,angetaka kujulisha jukwaa naamini angeweka thread yeye mwenyewe!and for ur info kule fb kuna user zaidi ya 5 wanatumia jina la zitto,swali,je? una uhakika kama huyo user ni zitto mwenyewe?
 
..huko ulikoanzia harakati za ukombozi namibia, angola nk umewekeza nn?? acha ndoto za mchana ww! kapike majungu kuhujumu vyama vya siasa, ndo kazi mnayoiweza uwt wa tz

True voter uwekezaji sio lazima Cash bali unaweza kuwekeza hata rasilimali watu,kwa taarifa yako uko unakokusema Tanzania imewekeza kwenye rasimaliwatu [Human Resources],kuna madaktari,wahandisi walimu wa vyuo nk.Wanaingiza pesa nyingi sana nchi kama mchango wao,na wengine wameshaingia kwenye sekta ya biashara.

Ndio kuna matatizo katika kulitizima hilo kwa upana zaidi lakini sio kuwa hakuna innitiative zimefanyika.Na hatuwezi Watanzania kuwa kote kwa kuwa tunaheshimu haki za Wenzetu pia na kuwa hatukwenda kuwasidia waafrika wenzetu ili tuwahujumu bali tufanye nao biashara na mahusiano kwa nia njema..
 
ataachaje kuongelea hammer?si alishawahi kulilmiliki na anataka kwahalalishia watu kwamba mbona hata sudan hammer ni kawaida?haya ni maneno rahisi sana kutoka kwa mwanasiasa kama zitto.kwa nini asitangaze fursa zilizopo huko sudan.haya mawazo ya mtu anayetaka kugombea urais 2015? hoja ya ujana kwenye urais inaendelea kujidhihirisha itakavyotugharimu.watetezi wa hiyo hoja wakija hapa hawatakosa cha kusema kwa maneno matamu na yenye ushawishi
 

Yani kuwa great thinker ndio maana yake,kupima hata kauri na misemo kama mizania ya kiwango cha muhusika.Waliotumia uthubutu wa EL wakasahau ambitions zake,leo hii wanagumia kuwa walisafiri na mdau boti moja nauri tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…