Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu yeyote anaetumia neno,mstari au chochote kutoka kwenye dini kujibu hoja zake za kidunia tayari ana tatizo la akili

na hiyo sekta anayoifanya ashafeli tayari
 
Zitto atambue hawezi kufanya siasa bila kujipima na wengine, ndio maana wao ACT kila siku huwa wanaimba hawataki siasa za maandamano, wao wanataka siasa za kukaa mezani kutongozwa na mtawala.
Waandamane? Kwa wanachama wapi wa kuandamana labda Zito, Abdul Nondo na wake na mahawara zao.
 
Kumbe ACT wazalendo ina dini yake! Dini yake ni uislamu.
 
" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake "
~ QURAN 109:6
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…