Naye alikwua ana-launch kampeni zakeKijana mbona jana hakuwepo kwenye uzinduzi wa pale Jangwani
Amejitenga nini?
Chadema ni chama kikubwa, wakati uzinduzi ukiendelea Jangwani yeye alikuwa anazindua jimboni kwake ndivyo inavyotakiwa viongozi wasambae nchi nzima si lazima kufuatana na presidential campaign team watakuwa wanaitwa wanapohitajika.Kijana mbona jana hakuwepo kwenye uzinduzi wa pale Jangwani
Amejitenga nini?
He looks silly in this picture. What's that hat for? It looks more like a ritual ceremony to me than a re-election campaign launch. Downright ridiculous...
Mungu amsadie kumshinda yule mwizi mkuu wamitahani ya secondary tanzania na owner wa Happy skillful secondary school a.k.a Ambassodor
ASANTE KWA KUTULETEA HABARI ZETU ZA KICHAMA....TUENDELEZE TUITOE MADARAKANI....! zito oyeee
Mkuu is re-election campaign launch not a ritual?
I dunno...you tell me. Is it?
I guess so. It seems to have several features similar to other rituals like repetition (re-election campaign launch), costumes, props, processed procedure, stage/arena, audience, performers etc. And as I can see the audience is not separated from performers which is one of the key elements of ritual i.e performer-audience participation
Zitto kabwe hakuonekana katika uzinduzi wa kampeni za chadema siku ya tarehe 28/8/2010 pale Jangwani. Je, bado ana bifu na Mbowe baada ya kuondolewa kugombea Uenyekiti wa chama hicho? Je, hii inaashiria kwamba kuna mpasuko katika chama hicho? Wapo wanaosema alikuwa jimboni kwake anazindua kampeni kivyake, je ni kweli?