Zitto Kabwe: From the AMBUSH to the BATTLE then the CONFUSION

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Zitto Kabwe ni kama anamnanga Mbowe na Chadema Ukurasani kwake X

Anasema " From the AMBUSH to the BATTLE then the CONFUSION"

Tuzidi kuwaombea Chadema wasifike Kwenye Confusion ๐Ÿผ๐Ÿผ
 
Kuna mtu kajifunza kwa Putin kuchomoa silaha moja moja kila baada ya muda fulani.

Inafikia hatua adui hajui una silaha ngapi, na kwamba ipi itakayofuata kuchomolewa dhidi yake. Hatari sana.

^Most formidable warriors are readily put down by an enemy within as compared to an enemy without.^ ~Sun Tzu
 
Zitto katema nondo nzito Sana, japo zimekaa kiunafki Kama ilivyo hulka na desturi yake.FAM alizoea mashambulizi ya kushtukiza kwa Kila aliyegusa maslahi yake ndani ya chadomo.na Mara zote aliibuka mshindi mchana kweupe.

Sasa leo ambush imegeuka imekuwa battle na inakoelekea inaenda kumcofuse mazima .Amekutana na mwamba aneyejua kucheza karata zake kwa utulivu
 
Zitto Kabwe ni kama anamnanga Mbowe na Chadema Ukurasani kwake X

Anasema " From the AMBUSH to the BATTLE then the CONFUSION"

Tuzidi kuwaombea Chadema wasifike Kwenye Confusion ๐Ÿผ๐Ÿผ
Tayari wameshafika na kisababishi kinajulikana, just tu watu wanakaza fuvu
 
Japo zimekaa kinafiki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ