Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
masikini tanzania, sijui hali hii itakoma lini/ na wasomi tunaona kila siku kwenda semina ulaya, lakini watu wanatuibia kwa njia za mikataba na kukwepa kodi kila siku
Who cares? Watanzania wanajua juu ya serikali waliyoichagua; sijui kama kuna mtu kweli anashtushwa na taarifa kama hii. Sheria imepitishwa na wabunge wa chama tunachokijua na kulalamikiwa juu ya loophole haikuanza leo na Zitto mwenyewe hakuanza kuinyoshea kidole sheria hii mwaka huu! Kama watu walichagua serikali hii iweje washtuke na matokeo yake. Yaani walikuwa wanapanda kwa furaha miiba ambayo ilikwishawachoma leo wanageuka kuuliza "uliko ompunga"?